Online shopping is the new future. Lakini watu wanacheswa mbaya sana wakituma pesa kwa strangers. Share your stories hapa tuanike hawa mburukenge wanaibia Wakenya
Pesa nikituma kwa stranger lazima ipitie kwa PayPal, kucheswa sitaki mimi, otherwise the business must be very very established… Sasa leta hekaya ya venye ulinyolewa, Burukenge hii…
Sijawahi. All because I haven’t done a lot of online shopping in Kenya. All the same, I insist that my delivery guy inspects and receives goods before I pay for them. He even sends me photos of received items, he can send videos too. His name is Oyodi and I trust him kabisa.
We have too many crooks. Always verify before you pay.
Yes, alete hekaya. To be fair to him, let’s assume siyo burukenge :D. I was once conned. Hiyo hekaya ni ya siku ingine.
Hehehe…
Hekaya ije upesi…
Nikiwa uni huko Western, I had been wanting a new laptop. But nikiuliza paro alikuwa anaduck hiyo story sana. Soi decide to work over the holidays and saved like 10k after a long hustling and saving stretch. Then mimi huyooo… naingia OLX napatana na duka ya computers huko River Road. After kuongea bei, mboys akasema niaje, haezi tuma mpaka nilipe kwanza. Aki he was so convincing i sent mpaka fare ya kuweka kwa courier. Nimemngoja hiyo hardware kutoka 2013 mpaka leo
Hakuna duka ya computers River Road. Kama ulikubali iko, baaaaas!
Umekula Ka kitu Leo?
Juzi juzi i thought i should do something about it. So nimecome up na website inaitwa lipasafe.com. Its an online escrow service that allows an online shopper to be in control of your money to the very end of the shopping experience. You friendly peeps are welcome to test it out mniambie what you think
Sikuwa naelewa mambo ya jiji. Kwetu ni Kakamega
England 1st half O1.5 na Colombia ftO1.5 but kuna kamulti nilikashikanisha bado kanaendelea….
You got a good guy. Mimi i rely on nduthi guys around my hood. But they are least reliable suckers on 2 wheels
Hehehe… Fungua roho, ongea
There was a time that I needed to buy a lot tennis balls nilipata contacts online and asked the guy to deliver huko Kiambustan ndiyo nimlipe. The guy declined. I told him I’m sending my delivery guy to pick and then I pay after verification by my delivery guy. Nikasema wakutane hapo nje ya central police station. Jamaa akajipatia shuguli,
He he wapi huko? USA
[ATTACH=full]179403[/ATTACH]
Hehehe… Aligo missing. Nice choice of location
Mechi za kesho. WC simix na any other…
Kesho siguzi WC labda Australia, Svenska, and Norway
Most cons will avoid nyumba ya akina @pamba. They also avoid places with good CCTV coverage.