Nani anajua vile naeza installiwa wifi huku kasa

Nani anajua vile naeza eka Wifi kasa mwiki

Nipatie hio bizzz kiongos.Ntakuwekea na ni configure wifi router on Telkom Kenya network.Router only is Ksh10k,Telkom SIM is Free,then data bundle ya 30GB is Ksh1999,total is Ksh 12,000.
Once challenge i sometimes get from customers is that they think ukishaweka router na bundles halafu waconnect to data baaaas, mambo kwisha, zii,data lazima ilipiwe kila mwezi or whenever it gets exhausted.
Nipe hio bizz kiongoss

Maybe anataka ftth

Yeah,maybe,but hio lead time nikama 2 weeks unless spate wase wa JTL already wako na nodes huko