Ametoka na lappy yangu tukiwa Kwa BNB
Iza mzee,ulikua unalipia ama ulikua umeingiza box?
Nilimkatia akaingia box. Hii ni mara ya pili kumkula na ameamua kupita na laypy yangu
Hapo kubali umechezwa. Lakini ukiona dem amefunga kitambaa kama hio frame one,jua huyo ni mwizi
Enda police station, hapa huwezi saidiwa
Enda uchukue OB, peana ya macho atakutafuta akununulie upgrade mwenyewe
Pole kaka, hope it is not a vital tool for your work.
Masaibu ya Umaraya, kwenye Ulimtoa kaulizie huko, lakini ngoja kidogo maraya wenzake @MTINGIZA_KITANDA and @Agwambo hawajafika bado they might have some useful Intel.
Hapana sio huyu.
Mnaongea vibaya bana, hiyo lappy ni ya job. It has very important information
Huyu ni bibi ya Kenti(yule jamaa wa MOG, the famous gospel group). Mwambie umemkulia bibi na akakuimbia laptop…
Wacha kutubeba ndogo ghaseer
Huyu ni bibi ya wenyewe bana. Acha kutubeba mavi. Ghaseer
Hekaya za Abunuasi…chifumbitika wacha upuzi
Full hekaya bro Bora tucheke