I have in kitengela
Nani amewahi ona msomali kwa mjengo, msomali mechanic au carpenter?
Wamejaa huko garissa, wajir na mandera. Kwani unafikiria nani watu ya koroga huko mandera, also mechanics, watu ya kutengeneza vitanda, meza, kuuza mugoka, mahindi choma, mutura, njugu etc huko?
Wamejaa huko garissa, wajir na mandera. Kwani unafikiria nani watu ya koroga huko mandera, also mechanics, watu ya kutengeneza vitanda, meza, kuuza mugoka, mahindi choma, mutura, njugu etc huko?..
Uko sure kaka? Nimezuru maeneo uliotaja na sijawahi ona msomali akifanya hizo kazi tatu nimetaja. Mimi huona โnywele ngumuโ sanasana wakamba.
mechanic kunao. wanoma sana.
Isnโt the famous Moha grafix a mechanic? Iko waria mechanic wengi
Yeap, as watchmen
mechanic wasomali wapo. tena wengi sana.
Wasomali wamejaa all petrol stations hawking fake leather shoes and watches. Watu bure kabisa