Nani amemuona Mzee mwanakijiji?

Huyu jamaa aliwahi kusema kwamba iko siku hawa jamaa watatwambia tuwabong,olee kama tutaendelea kuwachekea. Leo maneno yake yametimia kwa msaada alioutoa yeye mwenyewe kwa kukipigia Kampeni chama cha wahuni kuingia tena madarakani kwa njia haramu alizosema kwamba ilikuwa haina namna kwa kuwa CHADEMA walikosea kumsimamisha Lowassa badala ya Slaa.

Sijui kile kijarida chake cha Chehe bado kipo?

Atavuka mda Si mrefu atakuja kujibu

Tunaendelea kumsubiri
Nalog off

Halafu yeye ni miongoni mwa wanahisa wa JF lakini bado alikuwa anashabikia ujinga!

Anapambana kuirudisha jf,sasahivi yeye ndio atakua chief controller wa jf

Kwa jinsi alivyo kada wa CCM itakuwa balaa aisee akifanikiwa kuwa controller

CHADEMA watamsimamisha nani sijui 2020?

Na mwenzie Nyani ngabu

Yule haitwi Mzee tena bali “mjinga aliyezeeka”

Hahaaa…Nilimwelewa sana M.M kwenye bandiko lake la modest proposal ama pendekezo la wastani.Baada ya hapo sijui alianza kuandika madudu gani.

Mzee Mwanakijiji yupo Facebook analia lia tu.

Kagongwa na nyoka aliyemfuga mwenyewe!

Karibu ukimbizini!

haha asante nimekaribia , Mwanakijiji alisahau ngano ya “Mtego wa Panya”,Panya aliwatahadharisha kina panya,mbwa,ng’ombe wamsaidie kuutegua mtego wa panya maana haukumlenga yeye panya tu peke yake wakiuacha hata wao na wenyewe utakuja kuwadhuru lakini hawakusikia,mwache mwana kijiji asome namba.

Lazima kwa utambulisho mpya

Allen mbona hukumwelewa mzee mwanakijiji. Watu wenye ufinyu wa maarifa bado wanafikiri kuwa Lowasa angeshinda urais. Chadema walifanya maamuzi ya hovyo kumkumbatia Lowasa badala ya Dr Slaa. Na haitakuja kutokea Chadema wakatawala nchi hii, labda Tundu Lisu aongoze chama hicho.

Yani walivyokua wanashabikia walidhani Hii dhahama itabagua Sasa mwache apambane na hali yake

Heshima yako Mkuu!

Heshima kwako pia mkuu

Ajabu ni kua mwanakijiji anapambana ili kumtenga jiwe na huu uovu,ati anadai hizi sheria zilipitishwa kabla ya jiwe kua rais.

Alinichosha zaidi alipodai eti sio serikali iliyo ifunga jf bali ni wao wamiliki.

Amesema anakuja na bongoforums.com ambayo ataizindua kesho.