Nani amejaribu showmax

namwambia ani inbox because niko na addons kibao na repos ambazo zimekaa tu. And kumchanua si nitamchanua free. Forum haiwezi kujua kuwa what they have provided you umejaribu na ikakua successful or not. Mi nitaenda nae step by step if itakuwa hajaelewa ataniuliza nimjibu. I just want to help.