Nani alifuta hizi zama?

Zama hizi unazikumbuka?

Ilo shuka ndo rangi yake?

Hakika huo ni mwaliko wa PAPASO

Kaalikwa mpitanjia ama

Yeyote anayewiwa kupapasa

Hahah! Ujumbe hadi kwenye shuka

Enzi hizo watoto hawaelewi Papaso ni nini!! Ukianika hivo leo Mwenywe tu utaona aibu utaliondoa.