Nani ako meru

Msiseme leo mugoks haifiki.
Hii demo ni ya nini?
[ATTACH=full]23741[/ATTACH]
[ATTACH=full]23743[/ATTACH]
[ATTACH=full]23744[/ATTACH]

It only lasted 2hrs. Huwezi fungia gari za miraa kupita hata kama wewe ni nani[ATTACH=full]23746[/ATTACH]

1 Like

HILARIOUS

hiyo inakuwaga myth…waulize vile wanafanyagwa mwea(wang’uru) wakigonga mtu na hizo speed zao za uenda wazimu au wanakatia samson corner, kutus, kagio, sagana ndiyo wanarudi makutano…

2 Likes

Kube dio nuguu na chokoras zimegoma!!!in this village

@Ibwit nini inaendelea?

Majengo chokosh were demonstrating wakitaka serikali itengeneze njia