Hizo mechi za ndani ya mahindi hukaa ku slap ajab. Used to do it back in the days nikiwa ocha na tudem twa ocha…during my lower primary school years
Ai chieth
1 Like
Huyu lazima ikue mkamba wa Kitui @PERDIITION anapenda hii njaro sana na ingine inaitwa kwa mwako (unfinished contruction)
