Hizo sides za baha ndio zangu.
Tuonane
[ATTACH=full]26758[/ATTACH]
1 Like
beautiful countryside
makarao wamejaa kwa hio barabara
ngomba, jaba kibao half na kisokorokwinyo za kungoja barnanas na stem mbillo ya mutongoi
taking off from nai
Unaongea kikamba Ama?
8 Likes
Kwani iyo barabara ya bahaa imekua recarpeted. Last time i was there ilikua imefika Sita
Hapo ilikuwa ile stretch tamu ya mai mahiu
1 Like
Fika Kabazi ungotee wazito wa kwangu
1 Like
Nitawagota wote
1 Like
umepotea wapi. jaba, kibao, kisokorokwinyo mbillo wachia mutongoi
ndio nafika nax vegas. aaaaah I luv this city
City under the Sun… Karibuni Naikuru.
1 Like
Nami pia nimefika.
Asante kwa makaribisho
[ATTACH=full]26802[/ATTACH]
Town.
Huko ni Bahati wapi, Kendurumu, Maili Kumi, Mugumo, kwa D.O ama wapi?
City