Nakumbuka Dar to Bukoba Via Nairobi and Kampala

Thanks a lot KenyaTalk. Mmenikumbusha hapo zamani ndugu zetu wa Bukoba walikuwa wanasafiri kutoka Dar kwenda Bukoba kupitia Nairobi na Kampala na kurudi njia hiyo hiyo mpaka Dar. Sasa kwa mara nyingine tuko TZ/UK/USA/CANADA/UGANDA/MALAWI/ETC. ila ukitaka kuwasiliana na ndugu zako wa TZ lazima upite Nairobi Kenya. Kama watalii vile wa mlima Kilimanjaro. Ha ha ha ha ha.

Ndio ishakuwa hivyo tena Wanalumumba wenyewe wakitaka kumsifu mtakatifu ji…we lazima salamu zipite kwanza Nairobi ndo zifike Magogoni

hahahahaaaa.hii inaitwa kula boda.

Basi zimerudi tena zama za ukitaka kwenda Bukoba kutokea Dar es Salaam lazima upitie Nairobi, maana hata Jamii Forums kwa sasa inapatikana Nairobi…

JF from DAR to DAR via Nairobi… heko malaika uchwara wa jiweni

umewaza mbali sana mleta mada, tumerudi ujima wakati hela zote tunawekeza kwenye miundo mbinu

Mwanza - Dar!
Mwanza- sirari- Nairobi- namanga- arusha- unapita maeneo yote unayoyajua- then Dar…tumetoka mbali, hatimae tumerudi huko huko kwa njia ya mtandao