Naked Thief Caught on CCTV in Nyali Mombasa

Kumbe hivi ndio hawa wezi wa kutumia sleeping spray hukua, ukiamka umpate huyu waeza kufa juu ya massive heart attack.
This guys even have time to raid the fridge and eat all your food

1 Like

Eeeh how now?

:D:D:D:D:D

why is he in shorts only??? juju…

Sijaelewa kitu hapo

This is probably a mpago wa kando to some rich Nyali wife and he woke up while she was sleeping and stole something.

1 Like

The thief comes armed with sleeping gas which he sprays into your bedroom to make sure you won’t wake up and surprise him, he then uses a motor vehicle jack to enlargen the gaps on the metal grill on the windows or uses a hacksaw to cut the metal bars and thus gains access to your hse where he steals electronics, zile vitu anaiba anafunika na curtain yako ambae Hua anaikata then he makes a clean getaway, why he is in his underwear is a mystery, it happened to me once wakabeba decoders and phones, TV haikuenda as its mounted on the wall. Woke up around 10am when the drug wore off

5 Likes

Hii sleeping gas ni gani???

Was about to ask the same

damn, wewe pekee yako, familia ilikuwa wapi?

Something they spray into the room unalala nikaa umekufa

We were all knocked out, na wakikosa kitu ya kuiba huwa wanakunya in the sitting room to show their displeasure

Niliskia ukipuliziwa doom kama umelala unaweza bebwa hadi coast bila kujiskia…

Its not doom, labda @Luther12 aje atuelezee

1 Like

Haha 001 kuna mambo

:D:D:D hao ni Wanga. Niliskia ukiweka chumvi na makaa ya moto kwenye hayo mavi watawashwa na wavimbe matako. sijui kama ni kweli…

2 Likes

Mbona hakuchukua camera?

mbona unamaswali ya kindergaten, home/nanny cams are so small you cant see them let alone notice they are there

1 Like

[ATTACH=full]100159[/ATTACH]

1 Like

Seems he noticed maybe ilikuwa kwa macho ya teddy bear.

1 Like

Doom hutumika kuiba kuku, sio watu.