Imagine niliamka 4:20am nimemaliza kuvote 2:09pm…
juu hawa wamama wako na watoto, WAKO NA HARAKA… # KATA HIO
http://binaryapi.ap.org/8532dc03cad74b529f87054c449f8aeb/preview.jpg
this is standard practice all over.
ata wewe ungeomba mtoto wa jirani kama ulikua na haraka sana
Labda wa jirani, lakini wale washafika booth wanapakwa kidole, haezi tumika tena
Mimi nmekata foleni ki-ufala …nmejifanya ku-enquire kitu hapo kwa mlango nika vote kabisa…sasa fombe tu
Nimekata tikiti yangu ya canaan
mama mmoja ameomba mtoto ndio akavote, amesahau na mtoto kwa gate ya kayole 1 primary , mtoi ame kanyagwa na raiya mpaka aka kufa… POLICE WAME INGILIA IYO STORY WAKAFANYA LINE ISONGE HARAKA.
Leta evidence…a killed should not be killed because of this…
Edit kabla brigade ifike
ngoja news ya 7:pm your evidence
Stupid liar…get a life u street urchin…
i will upload evidence in a minute na sio photoshop
Kwetu watoi waliwekwa mark hakuna kurudi tena
I spent 6hrs in the polling station. Hawa wamama, even without kids, ni nuisance. Yaani wamekata line hadi nikaamua 2022 I ain’t voting in upcountry!!
Walked in the station at 3.50, waited for five minutes by 4.00 pm I was done. Siwes rauka kupiga kura.
Me nilifika 2pm, nikavote 6pm. But tulikuwa na kamrembo fulani kwa hiyo line, story ata sikunotice time ikifly.
Hapa slices napata for sure.