Naivas declares war on mama mboga

Muliamua mtakuwa mnanunua kila kitu supermarket kama watu hawana akili, alafu siku mwezi iko kona unaenda kwa mama mboga ama hapo estate shop kukopa. Si ukuwe unakopa kwa supermarket pia, mushienzi? At this rate hizi ghaseer zitaanza pia kuuza mogoka kwa outlets zao. I’m all for fair competition, but some biasharas should be left to mkulima wa mapato ya chini.
[ATTACH=full]408264[/ATTACH]

Msee wewe maisha yako kazi ni kulalamika tu 24/7?? Hauna matiti unyonye?? Najua utaniambia ninyonye matiti ya mamangu:D:D:D Anyway negativity sells no wonder you got 40k likes plus.

I see City market across the street. They do the same thing there.

Na wakienda kwa mama mboga wanataka wakatiwe mboga na wachongewe viazi. Na utaskia “na uoshe mboga vizuri”, wakinunua supermarket hua wanakatakatiwa? Then ikifika mwisho hawalipi mama mboga, watalipa huko mid month after kuvurugwa.

Cant relate mimi nakula mboka ya backyard yangu. Kitu fresh organic no sewage. Mboka i do steam.

Wanabuy mpaka nduma supermarket alafu wanakuja kutusumbua kwa social media. Na mtu ameacha nduma fresh na moto hapo estate
[ATTACH=full]408285[/ATTACH]

Eat what you grow, grow what you eat.
[SIZE=1]Judas Iscariot 1200 bc[/SIZE]

Mimi kuna vitu huwa si nunui kwa supermarket. All My Grocery I get them from Mama Mboga. They are always fresh ju anaendiaga kila siku. Then anapima vizuri akiona innocent boychild like me

The fucker is a huge douche and u can tell he is a big loser in real life. Nigga always ranting here like a bitch on her periods 24/7. His life must really suck to keep on complaining like this. Like nigga go get a cold beer or som’thing!

Tumezoea kula za sewage na tume adapt.

https://www.youtube.com/watch?v=cLTg3hEMG9E

:D:D:D:D:D:D:D

Naivas wameanza some fishy behavior which I noticed last week,shelf price indicated is less VAT,ukifika kwa counter ndio unapata price is different after adding VAT

Midro-class chieth

About two weeks ago huko Buyer Beware watu walilia sana about hii issue. Kwanza wengi walikuwa wanasema wanapata receipt iko na items hawakuchukua. The complaint wasn’t limited to a few people or branches, meaning it’s a scheme by unscrupulous cashiers or management to inflate “sales.” Kama wewe hufanya shopping worth thousands inafaa uwe keen sana. Unaeza kuwa unakimbia supa ku-take advantage ya “offer” na unalipa more overall.

Like @Bingwa Scrotum has said, it’s a free market. The customer goes where he is shown the most love and respek. Sio kuuziwa mboga zimeoza hapo muthurwa.

Quickmart is even selling goats and very soon cows.

Hata wewe si ulishindwa na Netflix? :smiley:

Unakula hamsa unauzia watu series haiko complete. Utaachwa kwa mataa buda.

Kulikuwa na mjamaa wa series hapo Tom Mboya way back in 2002. Bado yuko to hapo. Hizo miaka yeye ndio alikuwa kusema. Alikuwa anaringa vibaya sana. Dvd ikikataa kucheza hio ni shida yako. Ati game haiku load hio ni shida yako mdau, no refunds. He had those old school multi burners which were very expensive back then.

Netflix started streaming operations in 2007. Leo hii huyo cowboy huwa anabembeleza old timers.

Buttco unatusumbua buana

Kwanza bachelor kama wewe unafaa ufurahi. Mama mboga anadharau bachelors sana juu hawajui kukagua products.

Unauziwa ndoo mzima ya potatoes zimeoza.

“Hizo na za reo customer siwezi kudaganya. Hizo nyanya zimefika tu saa hii.”

Na ni maongo. Bachelor anapika food inataste vibaya but he is not a bad chef ingredients ndio anauziwa mbaya. @Sokwe mtu huuziwa maini za panya anadanganywa ni prime meat cut. Baadaye anakimbia Nairobi womens ati ako na minyoo amehara usiku mzima.

Sijui mbona hii story ya movie shop hukuwasha hivyo, kwani wewe huwa employee wa movie production company ndio huwa unaumwa hivyo na biz yangu? Heneway, juu unaongea kama mtu hajielewi, acha nikuchanue ata kama utaendelea ku-argue na mimi. Kuna customers wengi sana bado hu-buy movies na wako na Netflix.

Disney, Hulu, Showtime, HBO, CBS, Apple, Amazon, Fox, Starz, Cinemax, AMC, na Peacock bado wana-release TV shows. Huwezi pata zote Netflix, na huwezi subscribe to hizo channel zote. Besides, nime-diversify kama fuckin’. Movies nowadays ni za petty cash, they make up less than 10% of my earnings. Niko na PS4 nne, hapo ndio pesa iko.

ungeangalia hizo nduma, kuku ,pizza na chips zenye confused afrikans wanauziwa before posting ? …
kwa mama mboka unapata almost everything fresh with extra customer service banae… si hizo tucker tucker frozen imported unauziwa na madharao

[ATTACH=full]408314[/ATTACH][ATTACH=full]408315[/ATTACH][ATTACH=full]408316[/ATTACH]