Nairobians After Fighting Pokot Bandits

Hii ndio mlo yenu sasa

[MEDIA=twitter]1630104793627631619[/MEDIA]

@PHARMACY hamjai wacha ii tabia

Mimi napalilia maembe polepole bila kusumbua

The joke is on you …

how, I dont live in garbage mountain sewer rat

Imenikumbusha German shepherd ingine iliruka kutoka kwa gari private hapa kangemi ikapitiwa na starbus…mwenyewe aliichukua akilia akaenda nayo

Prof. Uko sure si wewe …

Wasee hawana degree ndio wanaamini Kenya kuna roadkill ya kutosha ya paka na mbwa to sustain the samosa demand.

Hizi vitu mnasema zinafanya tuogope kukula samosa na mutura

Hii inaenda kuziwa ma-chinku pale yaya

Sambusa lazima zipikwe