Nairobi.

Ndani ya motagari enroute Nairofi. How safe is Moi avenue leo? Nataka kuingia SJ kukojoa na kuosha mecho kiasi, then nishuke Nyaivasha.

5 Likes

Who needs to know that?

hatutaki wageni washamba SJ .

8 Likes

Kuja na wakanesa kienyeji ama ubaki Kitui

4 Likes

Tuliza kende khocha, utanirushia momo?

2 Likes

wewe ukifika utuambie

1 Like

The early morning idlers near the Tom Mboya already teargassed, security nice around Moi avenue.

6 Likes

the tom boya ni nini ?

2 Likes

Panguza macho meffi, halafu uangalie tena.

1 Like

he he hee is that a taste of what to expect later this week ??

1 Like

@mukuna, plans za leo niaje

1 Like

:D:D:D:D nilikuwa na hivyo tabia. After urinal I used to make a lap of honour.

1 Like

It is, respect of private property will be instilled.

1 Like

Weh mzee ulitoka msituni Baringo?

1 Like

ile parking, bado unaweza sort mtu?

:D:D

Leo Niko kwa Madago trying to make inroads

Wakuu, nimefika Nairofi. Nimepatana na bro tukameza konyagi huko downtown. Sasa niko lironi nikielekea.

:D:D:D