NAIROBI SHOW GROUND

wadau,
The Nairobi Show kicked off on Monday this week,i wonder why we don’t have pomp and razzmatazz like back in the days. I remember some time back we had a fight pale DS na Wahuni wa Kibera na one of us aka chomwa kisu ya tumbo.Anyway, Sato am hoping to go back with nostalgia hoping to find:-
[ul]
[li]kichwa bila mwili[/li][li]Nipande ngamia kiasi[/li][li]nipande marry go round pale[/li][li]nione ma Zebu and merino sheep[/li]
[li]etc etc[/li][/ul]

2 Likes

Jibambe

1 Like

Mbona hii kichwa ilikuwa inawekwa kwa meza iko na curtain chini? :D:D:D

2 Likes

;):smiley:

Shiny eyes walituibia pesa na kutustua bure

2 Likes

Show ilikuwa show enzi za Friday night tattoo. Ilikuwa na military band, motor bikes, army combat using blanks etc etc. Pity my kids will never see such

3 Likes

Gari za kwenda huko jamuhuri grounds hubebea wapi hapa cbd?

Kubeba nusu mkate na soda

as you age somethings loose interest

Pia mimi nitakuwa huko Sato!

I once sold soda, chipo na Kuku hapo ndani ya DS…very good return on investment from students…in my eyes, they were the richest, but the stuff that is done by school girls there, wacha tu…

P

Chukua 111 pale railways

Board double M number 87 from Kencom

umesahau ile banana boat