We lack integrity as a society
2 Likes
tom_payeye niaje
1 Like
Nilikuwa nashindwa mtu hupata aje gumia na imebuy khaki
2 Likes
Alafu utapata huyo jamaa analia serikali Ina leaders wabaya. Na yeye ni takataka tu.
2 Likes
Kumbe hivo ndio beste yangu alirudi na ka gunia ka ma trouser baggy baggy kutoka pale gikosh.
Beste yangu alinisho nafika kushika khaki tatu safi nibadilishe luku. Akaenda gikosh. Mujamaa alirudisha na kagunia nikashindwa niaje ameshika nyingi hivo na pesa yake ilikuwa kiasi. Jamaa alizifungua akashangaa. Ma khaki biggy kama zile za akina Kanda bongo man
4 Likes
Its interesting how those mamas wanajifanya hawaoni yet they are part of the team
Hehehe. You had me at Kanda Bongo Man
2 Likes