N/B:
This is a jaba baze hekaya so its authenticity cant be verified.
Ilikuwa kitu kama June 2020 idhaa pandemic ya corona ilikuwa imeshika kushika. Saa hio Uhunye amefunga nchi manze. Hakuna events, hakuna concerts hakuna any hata kuenda church hakuna. Uhunye pia alikuwa ameeka lockdown hakuna kutoka ama kuingia nairobi. Iyo stuff ilikuwa imenipiga kiboko ile noma. Curfew ilikuwa imeekwa na hakuna kupatikana nje past 7 saa hio mabeast place niko nao walikuwa wanakueka ma rungu kama zote wakikupata nje. Iyo directive ilikuwa imeni affect sana coz mimi huanga dj na inamaanisha hakuna perform meaning hakuna doo ntakuwa napata since uhunye alidai hadi club zifungwe kabisa. Savings zangu zilikuwa zimekatika coz ndo nilikuwa natumia March, April na May. So kuna vile nilikuwa nimeanza kusota na nilikuwa nidoze njaa bana. Na siezi rudi home kwa mzae coz huko nilitoka siku nilipata ID na iyo ilikuwa 7 years ago na hatukuwa in talking terms na mzae juu yeye alidai nirudi chuo nione ka naeza pata grade poa kcse juu nilidunda nikapata C. Yeye alikuwa anataka nipate ile yenye ingenipeleka regular nikiingia uni. Nilikwara iyo story coz mimi najua singepata grade poa kuliko C alafu mimi na masomo hatupatani bana.
So nikacheki kejani nikona smart tv ya 40 inch ya Sony. Niliibuy na offer 25k tv yenyewe huuzwa 40k kwa duka na pia nikona lappy ya hp hapo yenye nilikuwa natumia kudj. Instead nilale njaa nikaona heri niuze iyo tv na lappy at least nipate dooh naeza survive nayo joh. So nika register jiji alafu nikaeka ad nauza tv na lappy kama package. Nilikuwa naziuza zote 50k. tv 30k na lappy 20k. After siku tatu ivi nikapata call kutoka kwa jamaa flani akidai ako interested kubuy hizo stuff zote mbili. Alikuwa sides za kiambu na alikuwa mzae ivi. So tukagree nitapatana na dere wake sides za ngara alafu tuende na hizo vitu hadi kwake uko kiambu azifanyie inspection alafu anifunge doo. Kesho yake nikaeka lappy kwa bag yangu alafu tv nikaiseti kwa box na nikaenda na boys flani hadi ngara nikingoja dere wa uyo mzae.
Nilienda na ndae ya uyo boyz at least nisiibiwe tv. dere wa huyo mzae alikam akanipigia tukapatana. boyz wangu nikamdunga 300 ya kunileta tao yeye akarudi kwake. nikaingia kwa gari na tukaanza safari. huyo dere akanishow nisitense uyo mzae mi mfiti na analipananga. haezi nicheza na yeye amedeal na watu wengi sana wa jiji. kuskia ivo nikaacha kutense na tukaendelea kuenda kiambu. after kupita dci headquarters tulifika mahali bara bara iko ndani ya miti. alafu magari hazikuwa mob kwa iyo rodi. kiasi kiasi gari ikaanza kujerk. ilijerk mara tatu alafu ikazima. juu gari ilikuwa manual uyo dere akanishow iyo gari huanga hivo. akanishow nishuke nisukume kiasi ndo iwake tuendelee na safari. nilishuka nikacha bag yangu yenye ililkuwa na lappy kwa passenger seat alafu nikaeka tv kwa seat makosaa. Nilishuka alafu kuenda kusukuma gari ivo ndo gari iliwaka na huyo jamaa akasonga kusonga. alihepa na tv yangu na lappy joh. ilihappen very fast hata sikuenda kuchukua number plate ya iyo gari. instead hata ya kujam nilicheka kwanza juu huyo msee enyewe alicheza kama yeye. kumbe wazae pia ni genje ikifika sekta ya kuoshana. nilipanda tu mat nikarudi home. enyewe kanairo ni shamba la mawe.