Nairobi ni shamba la mawe

It’s end month, your 30k salo imeingia and you’re feeling hot as lava…Unajiona @Guru wa online transactions juu wewe ni @Mzee mzima so unaingia online kununua a 32 inch smart TV ndio usiku uweze kustream Arsenal ikitwangwa na Liverpool na pia game ya @Swansea … Unabrowse browse random vendors then ghafla bin vu, unaangukia deal poa unakuwa @Amused and your heart tells you This is Gold… TV imeandikwa SONY but wewe hujui it’s just a @pseudonym … Kidogo kidogo you call the vendor she convinces you that she has all @Electronics4u …You make a stupid conclusion that she must be one @Phenomenal Woman…Pia you get @Randy thoughts that ukibuy from her utaweza angukia vitu akuwe @nairobilay yako… Mundu beste yako anakuambia ufanye research lakini unamwambia @Zee …juu wewe ni @Mjuaji unaamua kutuma @M-Pesa pap! Sent 22k to vendor… Akili yako tells you that you have made 70% savings…Three days later, TV yako inaland ikikaa hivi… Hii Nairobi huwesmake kama wewe si @janje …People have the @temerity to sell fake stuff…watu kama hawa ndio hukulishwa @pamba

[ATTACH=full]205770[/ATTACH]

Hii ni tabia ya washenzi wenye wako pale Pigiame. TV hubuiwa mahali tatu, E-Commerce Sites kina Jumia, ama Supermarket, ama kwa mzito @syndicate. The rest ni kutoa sadaka

Nikinunua kama hii siwezi ambia mtu hata mama watoto.

Chief Auditor, hii kitu tuliona Bachelor party ya kijana wamalwa akioa Yvone

Utapata nugu imejianika hapo buyers beware. :smiley:

[ATTACH=full]205771[/ATTACH]

Hehehe
…nachokoza hii mutu ya hesabu

Thousand apologies

[ATTACH=full]205774[/ATTACH]

HEHEHE

@Okiya mbona hujanitag hapo kwa M-Pesa?? :confused:

[SIZE=1]Lakini hii tuliona Methuselah akiwa kipii[/SIZE]

Unabaki ukipiga @kelele tuu .

niliuziwa kamatope eti ni ile nokia ilikuwa N70. nilizunguka kama mtu anarusa hammer throw ikaenda mpaka river kapingazi. mpaka waleo hakuna family member ameshawahi jua nili-con-iwa

@gashwin and @pamba mtu huwa akilia kimoyomoyo.

hii tuliona before village idler ashikwe na mvua pale Embu ashindwe kuchuna mauwa apige picha aweke kwa kijiji

Leo Liverpool inakukamua mbaka kwa mkia.

[ATTACH=full]205783[/ATTACH]

Huyo anaitwa Ranjeet Singh in that sitcom. My favouright. Still watch it.

:D:D:D:D:D:D:D

Okiya leave iliisha ama uliextend hadi December?

mimi niliconiwa hio design yako,nililia kindanindani sana,nilikuwa nimeibiwa simu halafu tena nikaongezewa kuconiwa in a span of two days only