Nairobi-Mombasa

Panda Mat za NAEKANA. One part of Emali town is in Kajiado county, the other in Makueni county. Mat itapitia kajiado county kupitia kitengela na Isinya, itakushukisha side ya Kajiado hapo soko emali, utembee 1 minute uvuke reli uingie makueni county, uchukue bus ya Mombasa. Hakuna askari. Hakuna roadblock. Fare ni 1000 bob.

You are such a snitch…now police know about it

Machakos junction?

Iko porous boundary ni old railway from kiboko to past konza.you can cross anywhere.the police cannot form a line for 100 plus kilometers…ni Kama hats hakuna lockdown.watu wanavuka casually tu.even the police know they are wasting time and resources there…

Hakuna kitu wanaeza fanya, wanajua

kumbe ni panya route za msituni:D
izo nazijua zote nmekaa emali 17-19

Emali town poa sana.

Emali sides za mulleys supermrkrt ni makueni county side za station ya sgr ni kajiado county …makarao Ap kitambo hawakuwa wanatambua boundary unless upite reli ya kitambo na huko ndani otherwise ni pingu…yote ni makueni:D

Ndio maana side ya SGR barabara ni mbovu.

kunakuwanga na conflict ya kijinga juu ya hako ka soko eti boundary ni highway(massai leaning biz men juu wana control kichinjio, ) lakini boundary ni old railway

Kumbe umedishi wakambodia hadi ukachoka?

wasee, hii panya route is still available? I wand to fiqa MSA kesho, shortly.