Sijasema I was ever with her or interested in her. I am familiar with her from Forex platforms online. Alikuwa anauza signals na anafunza. These photos are just pulled from her FB page na ni years old
So a Forex millionaire anauzia chokora? Does that make sense?
Guess wale watu wote wako wall street making millions ni scammers too.
Forex is how Iām aware of her from years ago. Hata alikuwa na shule area Fulani. The ninja asking wangapi just pulled years old photos from her FB page
Donāt get me wrong, Iām not saying forex is fake. But Kenyans who want to teach people on forex are largely scammers.
She could be legit but stillā¦
Telegram channel Thika Superhighway Leaks na ile ya Captain Frisk huwa inaexpose sana wasichana hujificha na hizi upuzi za Forex Traders, influencers etc.
Madem wengi huku nje are online hoes na huwezi jua. Nyinyi mnaskia tu small Girl, Big God lakini behind the scenes vitu hufanyika acha tu. Check out those pages, usishtuke kuona jirani yako hapo mwenye hujiita miss independent.
Watu wanabishana na Mimi na ni mtu I know for a fact what she has been doing for years na sio kuuzia watu wa 150. Hizo siku her signal groups had hundreds of mofos paying 3-5k each sasa haimek sense mtu kuja hapa na old photos claiming ameuziwa