Chokora Governor is facing an uphill task. Kesi zimekuwa kibao. Hope he is sent to Shimo la Tewa achunishwe sukuma
I can smell it too
Itakuwa kaa Kibera bana, anyway, vile @langatkipro alisema Nairobi ichukuliwe na National government na watengeneze Metropolitan authority.
Tu MCA tumeanza kutaja Igathe
“Alipofika karibu aliutazama mji, akaulilia akisema kwamba, laiti ungalijua yakupasayo. Laiti ungalijua zamani yakupasayo wewe!!!”