Nairobi Governor’s Seat

http://gadocartoons.com/wp-content/uploads/2016/08/Aug.12.16.Nairobi.Governor.s.Seat_.jpg

The post Nairobi Governor’s Seat appeared first on Gado.

Continue reading…

Nomination zitakuwa moto next year

vile Miguna amechorwa joh

kwanza kwa jubilee aka jap side

migunaX2 hajachorwa poa:D:D

Kuna watu watalilia choo if the law requiring all party nominations to be done the same day goes through

Hapo ndio Jubilee Party watalia kwa choo. Kama Noah Wekesa pekee ndio aliitiwa men in black. Hao wengine wataitiwa GSU kila siku.

You know such a law will never see light of day right?legislators cannot legislate against themselves

Wapi Bishop Wanjiru hapo picha ?

Mbona Miguna^2 anasema GLEVEREST?

Wapi Dagoretti MP.

Dagoretti South to be precise - Mr. Waweru (vile amepigania hii kiti aki…)