Nairobi Exodus

Imeiva kuiva people are leaving like nobody’s business. Both peasants and the rich especially those who can work from remote locations. Landlords wa Nairobi mtalia sana

[SIZE=4]What makes you say that @Kodiaga? [/SIZE]

Observation from several sources

Watu wanahama.Wanaogopa lockdown nini?

Tommorow I know a small company watahama kabisa Nairobi before the speech ya unyee yenye inafaa kueka lockdown. Everything is locked down but transport imekuwa shida kupat due to the large volume of moving orders from Nairobi. Yesterday I helped a friend anauzaga couches . Amepack kila kitu for nakuru. 47 pieces of couches and seats alienda nazo

Halafu uhunye aseme hakuna lockdown. Uhunye is unpredictable banae, flights ndio zimeanza, SGR pia!
Ata ocha napanda local flight

Heheh that guy mtu asichukue chances. Kama unaenda enda tu

Kwani huyo jamaa ana nyumba inakaa aje ? 47 couches ?

Fake dibango wacha kujifanya hujaelewa. Attention hoe!

Could be Its cheaper to hustle Mashinani

:D:D:D Naona unawashwawashwa

Lockdown ingine ain’t looming. They’ve considered it but it ain’t sustainable locking down the country tena.

There’s been no traffic jam on msa road the past few days, this could be the reason.

Andela East Africa (Software Engineers) whose workforce was around 600 went remote working 100% last month.
They even disposed off their non essential office equipment and furniture.

Zaa kuuza banae,aiii unaniangusha

kufungia watu bila vaccine ni kazi bure, Gatheca anajua atakam kutukumbusha tujilinde kama kawaida Hakuna lockdown itahappen tena.

Usi assume anajifanya amefika mahali jumpstarting of his grey matter is a requirement

I know someone ame service wish yake thursday. Amesema atakua nje ya Nairobi na familia yake yote by the time Uhuru anaanza kuongea

my cousin left today with his whole family for western

Kuna mrembo nilikua nafaa kuona leo na ameniambia kesho anaenda kisumu. Atarudi hii shit ikiisha