Nairobi beggars

Nairobi shamba la mawe. Ogopa.
FB_IMG_16847319406609328.jpgFB_IMG_16847319430481388.jpgFB_IMG_16847319455825934.jpgFB_IMG_16847319484443779.jpgFB_IMG_16847319510544962.jpgFB_IMG_16847319538092196.jpgFB_IMG_16847319568520662.jpg

Kama ushawai peana pesa kwa bugger hii Nairobi, ulidanganywa

You’ll find that’s not even her baby. @Adeudeu alituangushia hekaya hapa juu ya vile alipata “gig” to wheel around a beggar.

Inasemekana wengi ni wa TZ

https://www.youtube.com/watch?v=sz8ZyCmV0N8

Hekaya ndio hii kwa wale hawakuiona… @Adeudeu angusha hekaya ingine moja wewe fart dispenser…shenji sana

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/the-lame-shall-walk-or-run.49506/

Hekaya swafi kabisa … @Adeudeu alileta part two ama?..

Huyu Talker alienda wapi?? Bwana @Adeudeu leta hekaya msee. Hii ya beggar kutoka mbio anakuacha ilikuwa swafeee kuruka.

Most beggars get dropped by the ‘pimps’ vehicles at their assigned posts from 4.45am.

Kabla pharmacy akue na futhi

Nimecheka yangu yote.what happened later alirudi job?

@Adeudeu left us hanging…but I guess job ilikatika first day…

Hustler no. 1 Certified.

Pissant news

I have a soft heart lakini nikiona beggar na mtoto hua natamani kumtandika makofi. There’s nothing wrong with being disabled lakini why the furk would she go and spread her useless legs and get impregnated? She can’t feed herself and now she’s bringing a child into her world.

Alafu wanaume hawana heshima kwa wao wenyewe wala huruma kwa wenziwe. How do you get hard and furk such a woman? Nilikubali kuna wanaume wanyama when I once saw a pregnant mad woman. Wale wachafu kabisa ambao huokota takataka akijiongelesha.

Niaje Templar, Senyet iko Vipi?

Kuna mafia huku nje. Tukiwa waless before I joined the MI6, kuna dem fulani who was severely disabled from birth to an extent that alikuwa anafanyiwa kila kitu from kuogeshwa, kuvalishwa to being moved around on a wheelchair. As a result of the disability, she was minute in stature. The only thing she could do on her own was feed herself. Sasa sakata ikatokea ako na ball. Investigation na interrogation kidogo tukapata kuna mwalimu who was responsible. Everyone’s interest ilikuwa kutaka kujua how he did it exactly. Banae! A few slaps to motivate him to speak, kumbe umbwa ya mtu crept deep in the night when the whole village was asleep, akabeba dem kwa mgongo mpaka kwake, akanjotika ndani na kubeba tena akirudisha.

Kiongos angusha Ile alikuwa ana release mshuto Kwa kazion.

Was he supporting the woman before you realized it was him. Why is he alive yet or not behind bars I presume

You aint got that good an eyes. Its a he not a her

Sasa kupea dem mimba ni kitu ya kufungia mtu kweli? Kitambo mimba za nje were an anathema and a stigma sii kama siku hizi. Jamaa alikuwa embobut mpaka vile dem alianza complications za mimba; kutapika na kutema mate kila saa. Hapo ndio infestigeshen kufanywa tukapata culprit whom we flushed out from deep in embobut. As a condition to “forgiving” him, tulimwambia upkeep ya mama na mtoto sasa pia yeye atakuwa participant which he agreed. Saa hii kijana yuko in his early thirties still staying at his maternals though mama alikufa kitambo lakini mwalimu hakukimbia majukumu. Akianza kudai shamba the village is in agreement tufukuse yeye aende kwao.