mat za kuenda hapa zinapandiwa wapi? na no no. ngapi…kindly help
When I was a hustler used to board no 42 or no 8 za kibera pale railways.
Panda 111 au 24 au mat za kawangware etc
Enda pale railways…utazipata
Tafuta no. 8 za kibera, no. 111 za ngong utalipa expensively na hauendi mbali
Nenda pale Kencom upande 4W Citi Hoppa, the nearest bus stage is Mimosa/Coptic slightly past NBC
number 24 itapeleka yeye wapi? i thought it does langata road/bomas/ hardy/karen
Uber ni rwabe I guess
Mat za Karen use Ngong road from town then Langata road when going back to town
Next time ukikwama Nairobi just use google maps
[ATTACH=full]109628[/ATTACH] [ATTACH=full]109629[/ATTACH] [ATTACH=full]109630[/ATTACH] [ATTACH=full]109631[/ATTACH]
ama utembee tu ni karibu,less than 5km,ahah
Hehehehe umenikumbusha hekaya ya yule msee alitembea hadi Ngong
mimi kuna siku nilitembea from dagoreti to gong hills,nrb watu wamezoea magari wakawa so lazy
asanteni, nimefika…
Wewe ndiye umeingia na Yellow trouser na green shirt?
he he he; huyo ni mimi…
Zinatumia ngong road last i used them
thanks for the correction, hizi route za leafy suburbs sijazoea
:D:D:D
Nimeona hizi bus za Kencom pia zimeongeza maroute kadhaa ukizubaa utajipata upperhill kwa vichochoro