Naija Laptop

Nimepitia pale kichorochoro odeon nikaona Acer Nitro 5 (a really good perfomance laptop) imefungwa na ile wrapping paper ya food… nimeuliza price nikaskia ngombe ni ya Nigeria nikatoka tu nje

These people sasa wamezidi

Hio place usijaribu, watu wamenunua hapo wanalia kila wakati.

hehehehe…nunua machine but before mek sure mmefungua yote mkainangalia na risiti umepewa

Nilinunua Folio13 na hadi saii iko set…kila kitu iko tu sawa…but we had to kagua the machine for like 3hrs

An

And he has employed so many yellow yellow apo kwa front desk… Utafikiri uko kerugoya

Thanks nimeponea ilikuwa ninunue lappy hapo odeon. The first day I went window shopping there nikapata tudem ndio tuna uza.On Sunday nikapata ni oga ako kwa shop with a bottle of Heineken it sent shivers in my body. Nikasema wacha ikae.

Just because it still works doesn’t mean all is well. The owner might be in ICU after brutal robbery.

NIKO NA risiti… apan tambua…owner angekuwa more careful.
but at the back kuna a faded sticker ya some library in the UK

Ok .Did you know you can get ETR printout hii Nairobi hata kama hauna ETR machine for your business.
Anyway yours ‘‘might’’ be an ex UK .

alidai how much?

Stall A6, Koone Mall. Amejaza advertisements OLX unacall different numbers ukifikiria ni different sellers, wote wanakudirect Koone Mall stall A6. Ghasia yeye, kazi ni ku-flood net na ads za upusu

Alidai 65k

Najua mse aliwai shikwa juu ya laptop na ilikuwa kutrackiwa nilijua siwezi cheza na hizi vitu za UK it was a robbery with violence of a high profile in the UK kesi ilifika mpaka huku raia ilikuwa inaskia kujikunia ni kupelekwa mbio

I bought the Nitro for that 65K from that Naija guy, one of the best machines I ever bought. Next day the screen went blank and the machine was lighting up. I went back the 3rd day from the day of purchase and he was all rude and was talking shit. So I called Wazito to come for him, and they took several pieces of the Nitros and he begged and exchanged akarudishiwa hizo zingine. Now the one he gave me had the same problem and I did not feel like going back there.
So I did my research and found its a Nitro Bios problem. I detached the battery, uploaded a new bios and since then it works like a charm. Its an 8th Gen (8 Cores) with 256SSD. Its a risk but for now, but well worth it coz imesharudisha pesa yake.
If you know what to look out for, you can get a great machine. Warranty sahau, soma nyuma ya reciept, the shitiest warranty you can ever get. Shida yake ni customer care, na akiona wewe ni maembe… atakuuzia machine maembe.

Hekaya mzuri sana jamaa ako hadi na MSI gaming laptops

on this note we need a list of all the places you can find genuine stuff,mi najua ebrahims electronics na hapo building ya Norwich house first floor or second kuna shop ya electronics hapo never had issues with their products

Ebrahims wako too expensive and sell stone age stuff

Good info. natafuta kitu iko na at least Nvidia 940MX for my small bro anasumbua sana

You are better of buying from warias pale jamia mall.

There was a very good shop hapo ground floor ya Kimathi House, i think it was called Bestsell, sijui kama bado iko coz last time i was there the place looked it was about to close down. But you can try your luck.