Ni talker mgani yule ako in printing business? ninahitaji kuprint some a3 stuff…
@Afro kitunguu hii hapa
NIKO area …leta kazi buda boss
Mimi nataka typing and printing
c mnipee iyo kazi aki
Enyewe watu wako jobless. Ata mi nataka hiyo job, lakini sina printer… Nitakuwa broker
Uko area gani za Nairobi?
morning? i’m in printing na ninefanya biz na ktalkers kadhaa hapa…Check inbox tuone
hehehe…nitakutumia ikionekana
niko people’s republic…
tafta ata hp deskjet 1510 kwanza ndio ulete ubroker wa umeffi hapa
umeskia nikitaja herbs hapa?
Too far, logistics zitakuwa ngumu