Naenda Date na ina katsia

I have just realised I can’t do a date without having alcohol involved.

Now this sweet mama wants us to chill and talk today evening,eti get to know each other.

I haven’t done this shit for like 5 years. Naskia ku cancel I have nothing to tell her for 1 hour. Eti coffee.Me Nime zoea easy lays.

Acha uoga ghaseer kumbaf! Its good ushatambua una shida. Just go and see how it goes, you might end up being surprised. Izo vitu random za kuogopa sometimes end up being one of the best things. At least try ikichoma ni sawa just another story ya kuchapia marafiki, otherwise utashinda ukituimbia hapa story za “what if”

Ata mbisha ya coffee ya ashu tutashukuru

zoea kuwa confident bila kusaidiwa na mvinyo

Si ulisema umewachana na bibi wa wenyewe

One hour kwani ni exam, tell her unaona hauta make it but you will be available later in your house, akuje atembee ajue venye unaishi ndio umjue na akujue saidi :D:D:D

Hehe jamaa will stutter like nonsense…
Himmler: Ninini a-a-aje m-m-m-supa, na-na ddddai k-k-k-kku-kuma ya-yak yako sahi.

Hehe @Himmler bugia mvinyo otherwise hapo unamwaga unga na mboga, utalala njaa…meza zako, pata confidence changamsha msupa kuta vitu…:D:D

Hivo ndo confidence huanza mzee. Enda uchome picha iko nini. She is one person. By the time unaendea wa nne utakuwa poa.

:D:D:D:D:Dgo slow on our shy colleague we’re trying to build his confidence aache upus

Watu wasi kuchoche hapa jamaa. Tumesema mara nyingi heshimu instinct.

Face your fears, embrace the uknown and you will surprise yourself.

Going on dates with extremely beautiful women inakuanga challenging kidogo.

In this case I prefer aingie kwa gari we have a road trip. Kukaa one on one kwa restaurant italeta aibu ndogo.

:D:D:D

Unakaa a beta chieth male virgin