NADAI KUREGISTER ID YA MSEE AMEDEDI

Is it possible ama safaricon walifunga loopholes zote

1 Like

Kukona Dci kwa hii group. Chunga

1 Like

Wacha ukora, find a legitimate line of work hata kama uchumi ya uhuruto ni mbovu, if you want to leave a long life

3 Likes

Leta details zako, nikusaidie.

3 Likes

Niachieni hii kichana mkora.. industrial area kuna free housing, free meals na pia nguo ni bure.

1 Like

Iko nini dci wa kenya ni mafala

1 Like

Inda nmekua uko for long msee

2 Likes

Are you sure? Ni mafala until iwe ni wewe wanataka.. usijaribu

Dci wa kenya ni mavi kuna mwenye ashawai nitrace nkamwambia ajichunge najuana na kasongo long story short ye ni morio wangu sana

1 Like

Inategemea na makosa yako.. si ujaribu kuua mtu ama kuibia mtu mamilioni

Sitaki kuua bana​:sweat_smile::sweat_smile:

1 Like

Polisi wanaeza kuharibia future.. kaa mbali na wao

1 Like

Huoni yeye ndio DCI

Lazima upigwe photo na kama picha ya ID hazi fanani utakua pipi ya onyi pale kamiti