366 Billion loan from AfreximBank
122 Billion loan from South Korea
92 Billion loan from World Bank
74 Billion loan from local commercial banks
279 Billion loan from IMF
Devolution and Corruption…
Will ensure that we keep on taking loans…
No two ways about it…
Rigathiless of what one says…
Ni Kenya imekopa sio president
Waibe tu. Lakini si waeke hiyo pesa manufacturing instead of packing it in Seychelles and Cayman primitively
Amalize aende.
Ni jambass ili achukue cut yake
kwa ivo hope yenu mmeeka kwa mwenye ataingia after Ruto? Fate yenu iko kwa mikono za politicians?
msiweke fate yenu kwa mikono za wanasiasa. kuchukua cut huwa kawaida,
Nilikuambia jambass is an utter failure
the dilapidated economy had empty coffers.
nabii is a genius.
Amefail wapi? If you failed in judging human character during last elections, how is it Arror’s problem?
We have people like you who voted like you baada ya kudanganyika hatachukua maloan
sijai piga kura siku ata moja. nakaa mbali na siasa na wanasiasa.
Kwani umekuwa kigeugeu
mbona nipige kura?
Uweke jambass na wezi arobaine serikali
Rete rink ya effidense
:D:D:D:D:D:D:D ni nabii ama jambasss?
Ni kukula na kulipa.
Jambass