Na Tuombe

Ni Siku nyingine,MUNGU wetu tunaendelea kukushukuru kwa ajili ya maisha yetu , tunaomba ukaendelee kutusimamia sisi Kama marafiki na ndugu wa karibu,

Amani na Upendo wako, vyote vikatawale katika maisha yetu na ikawe siku yenye mafanikio Kwa kila moja wetu, nasi sote tukawe watiifu na wakamilifu mbele zako

MUNGU wetu,tunaomba ulinzi wako kwa kila mmoja wetu, pia Ahsante kwa ulinzi na baraka nyingi kwetu na kwa kuwa unatupenda,

Baraka zako MUNGU wetu zikawe Kwa kila mmoja wetu kuanzia sasa na hata milele , kupitia Kristo Bwana na Mwokozi wetu Amen

Wednesday njema.

13 Likes

Amina

hapa duniani sisi ni wasafiri baba…

amina

Aaaameni!!!

Amen

Amina!

Amen

What I needed today to complete my task. Ewe Mwenyezi Mungu twakuomba utusikie.

Amen

Wednesday njema pia @Meria Mata. Huyo mtoto ame nyonya sana @Guru. Wengine tuta lala njaa…

1 Like

hehehe…
why dont you christians do your thing without relying on your imaginary friend

Atabakisha tu. There is always something left

na siuvalishe yenye kakitu, hiyo mathutha inaanza kuniudhi

1 Like

Glory be to the Father, and to the Son, and to the Holy Spirit. As it was in the beginning, is now, and ever shall be, world without end. Amen.

1 Like

Amen

sorry I first read the title and saw a stray “t” somewhere in the middle of the word “tuombe”