:(:(:(![]()
karibu sana mkuu.
Natamani tungekua na namna ya kuwapa taarifa wana JF wenzetu waje huku. Itachukua muda kidogo kuzoea lakini hatimaye tutarudi kwenye kasi yetu
karibu sana
Mdogo mdogo tu, tutajaa hapa
Hahah…wapeni link ya kuja huku
Pamoja
tumeshaanza kufurika .Hahahaaaa
Shidaaaaaah
njoo tu haina shida
Kumbe mpo huku wandugu.nashkuru sana
joseverest, kama kawa ndani ya nyumba… Kweli JF haimwachi mtu salama…
Mwifwa, nimesoma makala kuhusu JF kuhamia KenyaTalk katika mtandao wa BBC, nikakuta wanakuongelea… Umetisha…
Igweeee duh nliugua mwenzenu. Haya tuendelee mwendo mdundo.
Iko wapi mkuu nikaisome.
Unaweza kuipaste hapa?
Nimeiona mkuu, naona wamekopi post zangu zilivyo kabisa kuwa uthibitisho wetu wa kuitana huku ugenini
Karibu, naona kuna watu wanajaribu kuzuia mafuriko kwa mikono.
YAP YAP AROSTO YAKE SIO MCHEZO
ila ipo siku jua litawaka na mafuriko yatakauka…