Mzito wetu ameamua achokozee snowflakes.

:D:D:D:eek:

Angalia ile picha iko hapo nyuma yao.

[ATTACH=full]400078[/ATTACH]

[MEDIA=twitter]1463354456058302468[/MEDIA]

Huyu jamaa wacha aenjoy early retirement in peace.

Trump is coming back in 2024 wapende wasipende

Trump 2024

Not gonna happen

Huyu mjama ako na pesa na si peasant, wacha aendeleze maisha yake 2024

I would personally vote for him. My passport arrived last month. Last year nilikuwa bado sijapata citizenship