Mzito ashibe

[ATTACH=full]59077[/ATTACH]

3 Likes

alshabab bingwa leo umetusumbua sanaaaa, coomer wewe

5 Likes

Shiba kabisa lakini si hio avocado umepimiwa

Misery…in a dish…

1 Like

Nani huyo anakupimimia ikorofia kama dawa,hio ni hujma

4 Likes

Matumbo / towel hapana chakula!

4 Likes

Kama unga ni kidogo pika uji… my relatives tell me. And I agree.

4 Likes

Ongezea sima wewe…mwanaume ni kujibonda…[SIZE=1]what the hell is kujimbonda…heard from Jaymo ule msee[/SIZE]

3 Likes

io ni chakula gani? fuck my naivety

MATUMBO SIO NYAMA! WEWE UNAMEZA TUU MATE

3 Likes

Labda amegawana moja na mrembo

Na utoe hio fork hapo, ugali ni kufinyanga kwa mkono

4 Likes

First round ,mbado maziwa ya ngamia na ugali ?

Na tunguo twingi!

Hiyo sima…utaamka saa tisa kusumbua!

Hiyo labda upatie shepat.

Unakula ugali na fork?
Meffi…

1 Like

Unaringia watu na goat innards? Vitu zinarokotwa Kiamaiko Alsh… wenzako wakizitupa??? Peasantry at its best

Hazitupwangwi. They are just sold very cheaply.

Matumbo na yoghurt siyo chakula. Kwangu maid upikia paka matumbo