Mzee Schwarzenegger

[ATTACH=full]413644[/ATTACH]

Gaayyy

Daily quota

Hehe, huyo ndio commando. Nani anakumbuka this phrase “I’ll be back”

Movie za huyu jamaa zilitujazz. Elders wa 90’s

Commando , Terminator 2: judgement day my best.

The running man…
Movies nowdays lack that “thing”
Nakumbuka movie tulikuwa tunarudia hadi unajipata unajua words…during our days kulikuwa na base ya movies. 90s…Wacha tu

Mimi huwatch movies from 80s to 2000 pekee.

Kwanza predator 1

Wuew wacha tu. When main character aliitwa otero…:D:D
We used to have a session ya story telling. Unapiga story ukitumia sound effects kama “tereng tereng” sa hio wapenzi wasikilizaji wameskiza kwa makini ni sauti ya story teller inaskika na ma moves zingine wazimu…:D:D

Commando, Terminator, Predator, Conana the barbarian.

This nigga is a legend. He made a part of my childhood fun. Aishi miaka mingi sana

He remains a hero forever

Alafu anarudi na coffin full of weapons

Asta la vista, babe

Hardworking man