Mama anatoka nchi ya Abdul aende retirement after 9yrs of hard manual labour only kupata a/c imefagiliwa na mutoto yake singo matha. Mutoto inasema ilioshwa kwa Forex na jamaa za Roysambu, akabuy Demio ifanye Uber ikachotwa na mpakistani, change akapiga sherehe.
Unalisha damu yako na mitoto yake mpaka rent, hadi unasomeshea niglet na bado unatendewa unyama?
Kwa damu yako banae? Heri hata auze sera pale onlyfans arudishe hio pesa, kumtuma Saudi itachukua miaka ingine kumi unless aende huko auze pia mashimo chini ya maji repayment years zipungue.
:D:D:D Huyu ako poa amepoteza 2m only. Kuna wasee hurudi kutoka majuu after 20yrs. Alijengesha “ghorofa” akiwa majuu. Jamaa anapata hadi picha ya vile project inasonga. Jamaa anarudi mtaani anapata hana hata nyumba ya nyasi…jamaa ana collapse ananyuria. Your relatives are your worst enemies. Changa hiyo pesa kisha uje ujiekezee mwenyewe
In this case hata hakukua na ‘major projects’, the mama was just careless ati aekewe pesa kwa a/c, I didn’t understand the logic in that if you’re already sorting out their living arrangements, alafu huyo si mutoto bwana! A grown daughter who can go out there and fend for herself & kid, useless cushioning… one thing I can assure you is if she had a man in her life this would probably not have happened.