Mzae Tapeli City Hall.

Leo katika pilkapilka zangu za kujenga nchi nimepitia city hall kulipa land rates for my mbirrion hectares in one of the leafy burbs. sasa nikishalipa hapo co-op on my way back to the cash office hapo kwa stairs inje, some okuyu mzee wearing a coat that is hanging low on the pocket areas calls me out, hey kijana umepata usaidizi… before i even answered jamaa alikuwa amesha pora hizo karatasi nilikuwa nazo kwa mkono… then he goes like oooh… ushalipa next time hakuna haja ya kulipa full amount, ukiniona hapa ukuje tuongee niko na watu hapo ndani ya system si unaelewa… i nodded and walked away. mimi nikupe pesa itolewe kwa system… then irudshwe baadaye. :smiley: hawa wazae walikuwa mabroker kwa corridor za office za serekali inakaa hawakujipanga.

Kina Uhunye wanafaa kulipa land rates za 20B kwa shamba zao za Nairobi na kiambu. Hio ngori ndio ilifanya sonko na waititi wangolewe

The land is free hold. Ancestral and agricultural lands in all parts of the country are normally freehold.

:D:D:D:D:D:D:D:D systems zinafanya hawa brokers wakue na njaa sana .There is one who used to hang around Sheria House anatengeneza pesa sana na business registration .

E-Citizen imetoa yeye na hundreds of others kwenye biashara mpaka amerudi ushago .:D:D:D:D:D

Na tao imejaa wazee wako idle sana.I think they are panicking and looking for last minute easy money for retirement:D:D.

Hao brokers wa sheria house were real Mbirrionaires… my cuz did his intership hapo sheria house circa 2008 he stayed on for two years mind you bila pay, the guy used to make 5K daily from birth registrations and business registrations. alitoka hapo since aliona his career was headed no where…lakini alikafunga niga bought a Forrester for 1.2 Mil straight from Japan.

Your cousin should be in jail for corruption.

Shine your eyes omera… hii kenya ni shamba la mawe only the opportunists will thrive.

Case 007/KTALK/22: THE STATE VS NYADIST’S COUSIN

:D:D:D ni watu wajipange. Elders watu waanze kufikiria retirement. Old age inakuja mbio sana.