Mzae anaweza mix mix manyimbo za kutoka 90s mpaka 2010s Wadau.
Nataka ni re enact Ile shows za Jimmy live on Tiktok.
Monday -Rap music ya 90s
Tuesday: Rhumba extravaganza
Wednesday:Roots Reggae and ragamuffin
Thursday: old school mix(hip-hop, local music, kigooco etc)
Friday: DJ Mzae mix
Shows stats from 10am to 10pm
Mnaonaje Wadau?
Niendelee ama nuende retire na niuse hii mashiine?
Wewe Anza. Hawezi jua kitu Iko aje until you start. You will figure it out later on, what works, what needs to be adjusted and what doesn’t work. Rudi na hekaya. Weka rink , elders watoe opinion. First episode tafuta kapotty akuje a twerk. Hii italeta elders wote. Thank me later