my reggae(raving days)....

wadau cjui ka kuna mtu ashawai enda reggae pale klub house …apo nilijua nafaa kurudisha shida zangu utawala…yaani soda ni 150 alafu kunguru ziko uko…nikama uko kwa movie…sijataja eti parking ni shida…bahati mzuri nigga yenye ilitupeleka uko ilikuwa na radar so tulikuwa na mzinga mbili za kc so ni soda tu tulinunua tunaeka tu matot zetu chini ya maji bt issokei…alafu tunapea mjinga fulani lift ati imetumia 33k…na ujinga nauliza kunguru fulani shit ni ngapi inaniambia 5k one hour…ni sawa tu mm na blue balls zangu…hekaya kamili loading …let me stick to club zingi pale utawala…

Reggae ya K1 sio ya masufferah. Na btw kuna cheap pokos hapo tuu nje. Ama muende westlands Rd, chromo Rd… Na si mbali mtawapata wamepiga line apo

Reggae na tambua ni ile ya Nyanza House, enzi za black supremacy

sijaelwa huu upuss umeandika

Oh yes! hao wa chiromo na Westlands road nawajua