My Observation on Kutahiriwa Traditional vs church/ modern

This is from my personal observation at my family level. Back in the days (currently in ocha) vijana walikuwa wanatahirishwa kienyeji according to your tribes tradition. You are educated and counseled accordingly (Gutaro in kikuyu). By the time the young dude leaves the hut ako total different person in a good way to the society. Nowdays especially in the cities wako na hii kutairiwa kwa church. A bunch of vipii gets assembled to a church or school and they get circumcised together. Then wanaanza kufunzwa biblical ways and shiet. Now!!! Mimi nilitahiri ya kitambo nyumbani. Older guys used to come and counsel me. Nachapwa vita kama burukenge when i forget what i was taught. Wakaniambia what is expected of me from the day i got back to the society as a man. Nikaambiwa now am an adult. I should take responsibility in the family just like a father. Nikaambiwa nikinyimwa food from now niende nikajitafutie hakuna kulilia mama tena. Na nikuwe msafi kwa mwili. Also nikaambiwa lazima nisafishe rungu after jandoni…inaitwa “kwehura mbiro” kwa wasapere. I turned out to be a good guy and very responsible guy even now in life. Now…my following brothers who followed me; 3 of them walipelekwa mtahirisho wa church. Reason being that i was seen with some girls in the village na nilionwa pia nikiwa maji na nikichoma fegi…so waka conclude that it was my traditional initiation. Little did they know ilikuwa from peer pressure ya high school. My bros wakatahiri ya church… all 3 of them. Wakapewa neno huko n staff. Wakatoka wakaenda high school. Guys!!! These guys turned out to be a disaster from the day walitoka jandoni. Guys ended up being the most dirty family members i know. Wajamaa kuoga ni balaa hadi shingo inapata ile uchafu ya black baada ya siku kadhaa bila kuoga. Nguo ni chafu hata huwezi tokea mtaani nao useme wao ni mabro zako. Nyumba wanalala ni chafu ajabu!!!. Chuo nayo wakakuwa mangaa hawasikii na hawaperform. Wajamaa wako highschool or college wakifanya makosa uwakazie oxygen wanalia like literary tears ( i was taught that after circumcision mwanaume hamwagangi machozi). Wajamaa walidunda highschool so wakaingia Diploma colle. Sasa wamemaliza colle. Hawatafuti job hata kama ni ya kushilikia before wapate their dream jobs…yaani after college the dudes wanatuomba pesa ya upkeep. Like am supposed to care about how they are to survive after college. They literary have to be pushed in life. So believe it or not…how your kid gets initiated into adulthood will impact his life forever. Thanks guys.

Hata paragraph kippii

Ambia mamako akuje aweke

I just find it hard that my 3 following brothers lost way…so mimi hujaribu kuona walitupia mbao wapi

Humbwaa

Warudi jandoni watahiriwe tena kimila

Tombwa ulale

you blow your small trumpet vile you are the epitome of discipline na unajiita ’ mtingiza kitanda ’ …

Kitanda lazima itingizwe wether uko na discipline ama hauna. Hata queen of England anatingiziwa kitanda iko nini

Hiyo kutahiriwa ni bure ata ukienda msituni. Children are just spoilt just like you.

I was taken into the Forest in 1998, for One full month. The rituals done there are crazy and still traumatizing. After initition we took an oath never to share what happens with Young boys and women.
Circumcision be it Tradition or church or Hospital has no real impact, It does not guide personality or behaviour, Infact from my place i started drinking Alcohol after circumcision, Busaa is readily available, Even the law cannot go against.