My nephew and the samaki

BTW I am not logging off without telling you that slayqueen ni wewe. :mad::mad:Now just back off Kush. You know why I am annoyed where you are concerned.

Acha kwanza tumalize kukopa deni kule shaina na Uhunye ndo nicum tujadiliane hio maneno ya slayqueen, sawa

You are vvv annoying.

na ka ndimu na pilipili

fish is not your staple food i see,hata wale wa pale sagana hawajui kuipika wanirudishaga kwa maji tena ndani ya sufuria:D:D:D:D:D:D:D nakuelewa though,fillet it is