My neighbor wamepigana na wife leo

Jamaa walikuwa wanatumia Ile gas ndogo inaitwa kameko. Last month but one akaamua kufanya upgrade akanunua 13kg cylinder na burner. Juzi akaambia Bibi ataenda kutembelea mamake ushago na atapelekea yeye hiyo meko. But Bibi akamwambia alikuwa anataka kupeleka kwao. Hapo ndio noma ilitokea

Hakuna efidens?

Do you want me to post there pictures here on the thread?

Umama yenye imejaa ii kijiji…

Wacha matusi buana!!

Poverty hufanya Mohamed anakula nguruwe, lets work hard elders, tuondoe vita kwa boma

Upus thread from a retard geezer

True dat

Mcoondu firimbi

Shifo neighbours wako wako msoto… naona unachezea hio ligi kama mbirrionnaire

Being the only birrionea in my locality, I am often called upon to intervene in such cases by the elders and local administration.

Hii christmas tuanzishe GOFUNDME tununlie chifu biker, khamisi, deira, hijab, lesso na tshirt imeandikwa niko na umama.

Sawa mboss

Mimi naona shifo na elders wale huanzisha threads deserve awards… Kijiji at times kama hakuna threads za kuchangia… Ile boredom huchapa mtu wacha tu…

Chifu gaytika uko na umama mingi

[ATTACH=full]399187[/ATTACH]

Sawa kepii

KCR should be reintroduced

Giant among dwarfs

Heshimu kirauni @ChifuMbitika

Uwesmake tulia