Ndùma nairobi haigwes kosa market…kuja kwa soko mwenyewe utafute whole sale buyer murudi na yeye na lorry abebe mzigo. itakuwa fity kuliko kuitia brokers
Hapo sawa kabisa mdau. As a rule tho’, always do market research prior to engaging in any farming activity. Knowing your market is extremely important … critical to your success.
Hapo Stanley wako na variety mimi ukikuja kwetu nakuru utapata tu nduma, sweet potatoes au njugu karanga for breakfast…ole wako wako kama umezoea soft life ya sausage na bacon
Hahaha…mkisha chemsha wekelea kwa grill ama shallow fry kidogo tu ibrown…Wataona ikiwa delicacy ingine mwenda.
But these traditional foods are the healthiest. Breako ya nduma na ngwashe plus njugu (kwanza the stew like they do in UG) beats wheat products any day!
Alafu pia let him try nyahururu met so many brokers wakitoa nduma na ndizi from meru wakipeleka huko. I would have also advised apeleke nakuru lakini distance ni shida, pale soko zitapiganiwa wakijua ni za meru. Juzi pia nimekua kakamega hakuna nduma…huwezi kosa soko ya nduma…ukifikisha nairobi uniambie hapa nikujie 10kgs