My househelp has an off day on satoz. So she usually comes on Sunday kuosha vyombo coz mimi naogopa kuosha vyombo kushinda mavi. So she came today.
We relate well. Jokes and all. Ofcourse sjawahi mkula na sitamkula.
So today she casually told me aling’olewa meno na anaumwa kwa hiyo space ilibaki.
So i responded off the cuff, ju tulipika githeri lunch, aweke mahindi kwa hiyo mapengo meno iliacha
She laughed
and amidst laughs she responded, “Unafanyanga hivyo hiyo yako?”
Now hilo jibu limeniumaaaaaaaaa
I gotta sort it out sasa
5 Likes
Yani uko na mapengo…ti hi hi
5 Likes
Afro
November 1, 2015, 5:24pm
4
Nakuanga na pengo pia,ya premolar ya juu. I dont smile much watu wasi-notice,kazi ngumu!
2 Likes
nyeus
November 1, 2015, 5:26pm
5
na mbona watu hujaribu ku read between tha lines?!
kuna dental hosy in kasa(rani) kitu ni 10k tu kuisort out. But mi sionangi ikiwa shida kwangu at this age. It used to be when i was younger, but when i learnt how to get them ladies laid, self esteeem ilipanda.
2 Likes
watu waki-notice itakuwaje? vanity…
6 Likes
same to me. yangu huniuma sana coz i was even forced to pay mwenye alinin’goa.(though he had a greater loss)
hoping we meet again before my youth exhausts
1 Like
gashwin
November 1, 2015, 6:21pm
10
you might lose more than a tooth next time…
4 Likes
Am all ready, watching my own theme ie. ‘defend those who can’t fight for themself’
Why would a single boy like you need a mboch six days of the week Bingwa makei?
1 Like
system
November 1, 2015, 10:59pm
14
wanawake wa siku hizi hawajali kama una meno au hauna, bora wallet imejaa. tafuta pesa mingi sana na hiyo uoga ya meno kwisha
2 Likes
I am very disorganized/careless; kazi yake ni kunipanga. Plus, i want my house to feel like a home without having to marry.
system
November 2, 2015, 3:00am
17
Inakaa @Riddim anatumia sura yako kama his avatar
6 Likes
Fala_12
November 2, 2015, 4:17am
18
ni mboch wa MAMAKE anaongelea
Hehe… We all own a Ferrari, have 12 inch cocks, beautiful women… On kTalk
1 Like