My guilty pleasurepleasure

Jana nilikuwa na maboyz tukachinja kambuzi hapo naivasha. Then afterwards tukakunywa nikarudi mtaani baadae.
Sasa leo, nilibakisha kakitu nikaona wacha niunde hii kitu.[ATTACH=full]39019[/ATTACH]napenda mutura sana but siwezi trust hizo za barabara. So najiundia yangu. Hata sausage na smokie ni mutura tu ya supermarket. Nilianzia hapa.[ATTACH=full]39020[/ATTACH]sasa wacha nikatafte kaglenn fiddich niteremshe polepole nikingoja kamomo apike ugali then baadae ninukishe rubber.

5 Likes

Nimetoka mbio kama @123tokambio

2 Likes

Peasant food

Umenipa njaa na nimekula

2 Likes

Hata Mimi wacha nitoke bio bio

1 Like

umeweka vilivili

2 Likes

keti pale------------------------------------------------------------->>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> tukingonja chef @Gio atoke friendzone akuje akuonyeshe

8 Likes

Napenda sana!

2 Likes

What are the contents?

Missing ingredients: fresh blood, pilipili. And I hope you just dry fried the meat (dry fry ya kupika sii hio ingine). Mix the blood, the meat and the firifiri. Take a bite or two as you ‘tûndîra’. Pure pleasure!

4 Likes

Umeleta njaa na kunanyesha.

2 Likes

Niliweka kaka braza. Na kuonja sibahatishangi.

2 Likes

Some matumbo, blood,mafuta ya mbuzi these three together we call them munono, kitunguu(fried), saumu, dhania, pilipili, kanyanya kidogo, na undume mingi.

This is the epitome of having no social life. Uliacha watu kwa bar ukaenda kupika mutura home coz its hygienic kwa streets ?? Na Gas cooker?? Mwathani.

Ok, tuanzie hapa, mutura, ndodero, kichwa, maguru, balls are cooked na moto ilibaki overnight. Ndio mupige story ile ujinga mulifanya last night the next day. Heh, nunua stripper pole basi uweke kwa sitting room yako.

Wooooi @Gio can not be seen anywhere such peasantry. Yeye ni mutu wa red wine marinated aged beef sprinkled with permsan cheese and roasted on a bed of baby potatoes in a gas chamber at 100 degree celsius…

10 Likes

Hapa sasa ata afadhari cooking ya Gio.

I always avail myself during this step.

3 Likes

hahaha

@ pimpin5000hoes, ur target is pimpin 5000 hoes,do u keep a spreadsheet of each new hoe eg where,how much,how good,ratings out of tenetc na umefikisha no ngapi?

Niko na mpaka application forms. Nikutumie ndio ujue the rest of the process?