My Gripe With Matatus

Watu kunuka mdomo. Toothpaste ni 20 bana. Osheni midomoo buanaa

1 Like

Mwanaume ni jasho

4 Likes

Leave alone walking pantyless huyo mama hata sura hana

…but hygiene ni muhimu, maji 5 litres, mtu ang’are, kama toothpaste ni shida, chumvi iko na akimaliza kupiga mswaki atafune buble gum.

Nakumbuka kuna day nilipanda mat kutoka tao, nilipanda city shuttle pale BS, nikaketi kwa window angalau ninyoroshwe na hewa safi niki mind my businesses, next to me kuliketi mujamaa na alikuwa na story mingi sana. Siasa, mahali alini jazz ni vile alisema Ruto ameharibu uchumi, na juu alikuwa mkikuyu I entertained him. Mistake.

Mazeh alikuwa anafanya na hold my breath kama shiet, alikuwa anatoa harufu ya meffi, by the time tunafika kayole junction najua nilikuwa nisha turn pale (insufficient air supply). Alishuka niskashukuru maulana…

3 Likes

Kuna watu hunuka kale kajasho very concentrated ka siku kama mbili mpaka unashindwo kwani hana rafiki wa kumweleza jamaa kuna vile unanuka haipedezi

1 Like

Wengine ni ku recycle nguo daily bila kousha, unapata mtu ananuka mbuzi na nikama yuko yu sawa.

1 Like

From experience bad Body Odors Hutoka from bacteria mbaya kwa skin. Mwambie aoge baharini. It usually clears it

2 Likes

Ujinga ya wakenya ni kukimbilia kukaa kwa window then go ahead and not open the damn windows while it’s 30degrees outside!! Unapata mat iko stuffy ukiuliza mtu afungue window anasema atapata homa juu ya upepo,like TF who told people homa huletwa na baridi!!!

4 Likes

i like your advise. Mtu atoke turkana akaoge baharini?

3 Likes

@Kdawg254 hao mafala hunikasirisha sana ndio mimi hungoja the next mat nikae kwa window ndio nifungue. Kuna time hio july na njeve nimekaa kwa mat imejaa mist juu watu hawafungui dirisha. Nilifunuga yangu fresh air lakini kuna manzi nilikua nimekaa na yeye akanishow nifunge. Nilimshow hivyo ndio watu hupata TB si homa akaniangalia kama meffi akaenda kukaa seat ingine. Nilijazika sana sasa naenjoy cold fresh air bila stress.

2 Likes

soko ya kwetu iko na disciplinary team, wamama wangekuwa washa ban yeye kwa soko for 2 weeks, adi ajue kuoga

So aongezee table salt tu Kwa maji?:rofl:

1 Like

Kenyans don’t open Matatu windows don’t know why. Hata fog ikijaa hapo ndani karibu makanga aanze kutembea na torch still utaskia ‘funga hio dirisha’

3 Likes

Nakunuka mattercore

Hakuna kitu sabuni haiwezi

1 Like

I last boarded a matatu over 10yrs ago

1 Like

Kwanza ma asubuhi, hadi unacheki window ikona vapor, na sahizo wamama wamejifunika gubi gubi na maleso zao. Nasho mtu mkivunga madirisha hivi, mtaambukizana homa na TB, ndio wanafungua, kidogo kidogo jamaa ama mumama amefunga anaona atapata pneumonia…

Uko sure wewe si kamagera wa Nangkis

1 Like

Na ukahara huko ndani,mbwa wewe

1 Like