My first heartbreak.

I was in campus that time na huyu dem alikua manzi yangu from high school.She was my first love. We had dated for two years mpaka tukaitwa the same campus. Sasa kufika campus, jamaa flani mkisii alianza kumkatia. The fucker had a chemist na alikua anapenda kupeleka dem yangu out mall flani hapa tao places singeafford. Nilimbeg beg kiasi ile tusiwachane lakini wapi. So one day tulikua kwa bash then my sweet gf akatokea na huyo msee maze kwa bash. Nilikua hapo kando in an awkward position naona tu lovey dovey zao. The more I drunk, the more jealous I felt mpaka nikaona hapa najiumiza. I left with my tail between my feet nikaenda kwa bedsitter yangu. Nilikubali and It took me close to a year ndio nikamsahau. Kitu ilinisaidia ni kuna dem flani mrembo sana nilianza kumdinya and thats how I forgot my ex completely. Sasa huyu ex wangu, now married to the guy alianza kunirushia madms ikafika point akakubali tumeet we fuck. We met but after seeing her na nikakumbuka ile mauchungu alinipea, there was no way I was sleeping with her. Tulikula tu kwa hoteli na nikamsho tu haiwezi. Tangu hiyo wakati I swore never to love a woman again.

@cortedivoire, kama ni wewe, mge-meet na huyo ex, years later ungefanya nini? :D:D

We ni umbwa sana, you have failed the elders, such an unforgivable sin.

Now imagine beta males like kina @Nipe Nikusifu go through the same headache every so often, hawaskiangi wakiambiwa wawache kusimp. Wajaka wengine kina @Agwambo kujifanya gentlemen ati kufungulia Dem Shemale mlango ya ramshackle ya 1982 ati ni classic car, mara nikuwavutia kiti, mara nikumpikia ugali na omena and down it with some Best Cream pale single room katwikira. Rediculous cunts.

how exactly?

@Ben Dover @Ben dover 1 @Benn Dover mabendover mumekuwa wengi sana kwa hii kijiji banae

It’s the same crew of kina @Nipe Nikusifu @Agwambo @poyoloko and @Investorde sending subtle message to each other. Mbogi ya kuseketana ndiasa.

Hahaha. What!

You sound like this guy
https://youtube.com/shorts/rpAzmXdHSL8?feature=share

Wewe ni ghasia. Ungekula yeye Kwa madharau Hadi mkia

:D:D niliona moto hiyo design. Haha

Wewe sema tu unataka kumpea kunyenye.

Si unaona watu vita

@Ben Dover @Ben dover 1 this way exactly

In love and in war, there is no fairness. Most of these ladies are emotional terrorists.

So you decided to join the MGTOW movement? :D:D

@Benn Dover is a gay amesema he will never love a woman, so what does he love? @Heke @boyshawd @SledgeHammer @chap @MunduUngi

@Starscream kwa watu wote ktalk umeona tu unitaje kwa i group?

Sorry sir

Turdmean unasumbua
[ATTACH=full]465430[/ATTACH]