My Cousin

Tunangjea alale tuhame usiku


No cap. There is a girl in Mombasa, her parents from central, whose parents up and left her in their house, and moved somewhere without telling her after alizalia nyumbani. They completely washed themselves of her like a joke

4 Likes

Grade sio big deal, anaweza lia kwa sasa, a feel ametupwa, njia zifunguke. Maisha iwe poa. Anaweza angukia elder alikuwa anasaka wife hapo awali

Kuna elder @ukipewa_chukua alifungua roho kwa hii thread titled “Kuoa (qualities of a good wife”)

Mimi nime decide achukue huyo mdengez ameokota D minus. Amewachiwa free of charge, kwanza ni m-coast…chakula inapikwa na mapochopocho sawa sawa.

1 Like

give the young man a break… majority of rich folk walipata below c

1 Like

…uta realize ya high school ama uni huachwa tu huko, hapa nje kila mtu na njia zake. Unaeza pata huyo dem akona bahati ya kimaisha tu. unapata maybe akona “ka extension” kutoka nyuma so ana marika na mbirrionnaire, ama anaangukia tu job na anajilea and make it ama ako gifted ku run biashara. ushafika gikosh, hao wamama huleta container…ni mbirrionnaires unadhani wali score ‘A’? Zi. Huwa nasema si poa ku judge msee na grades but skills ama abilities.

5 Likes

Hospitality and tourism

Receptionist

Massage wa makende

Au Salonist

Best offer. Take it or leave it

1 Like

Buana labda nimnunulie jembe. Kitu anashika ni agriculture pekee

1 Like

Kama nimeona watu wakifaulu bila ata kukamilisha primary basi theres no excuse not to make it out here. Hii nairobi watu wanakafunga na njia ambazo huwezi tarajia. This is not the end of the road unless aamue hivyo. How many people in kenya have a degree that has been sitting idle and made nothing of themselves. atulie na hizo Energy amepata kwa wingi and redirect it to making money now.

I mistook this for an incest hekaya. Nkt!

Angarao anaeza pariria mapera and make a living

Akam akue lanye calabash